JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
MIRADI NA PROGRAMU
 
Miradi na Programu [ Nyumbani ]
 
 
Utangulizi
 

Mkoa wa Dar es Salaam unazo Wilaya tano ambazo ni Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni, Aidha ina Halmashauri sita ambazo ni Halmashauri ya Jiji, Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigambo. katika mwaka wa fedha 2016/17 Mkoa wa Dar es salaam unatarajia kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

 
Miradi inayotekelezwa mwaka 2016/2017
 

Katika mwaka wa fedha 2016/17, Mkoa umetengewa kiasi cha Sh. 293,119,381,000/= kwa ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo; kati ya fedha hizo Sh. 140,878,671,000/= ni fedha za ndani ambapo Sh. 19,808,467,000/= ni Ruzuku na Sh. 121,070,204,000/= ni mapato ya ndani kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Dar es Salaam na Sh. 152,240,710,000/= mi fedha za nje.

Miradi ya Maendeleo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa:

•  Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
• Ujenzi wa Ofisi za Maafisa Tarafa
•  Ukarabati wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
•  Ukarabati wa Ofisi za Wakuu wa Wilaya
•  Mfuko wa kuunga mkono juhudi za wananchi
•  Ufuatiliaji wa Miradi (Participatory Appraisal)
•  Mfuko wa maendeleo ya ngozi (LDF)

Fedha za Nje:
•  Mfuko wa pamoja wa Afya( Health Sector Dev. Support
•  Ruzuku ya maendeleo ya Kilimo (DADPs)
•  Usambazaji wa Maji Vijijni na Usafi wa Mazingira (RWSSP)
•  Mfuko wa pamoja wa Afya (HSBF)
•  Kuzuia Maambukizi ya UKIMWI (UNICEF)
•  Kuzuia Maambukizi ya UKIMWI (TACAIDS)
•  Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo wa Shule za Sekondari (SEDEP)

 
 
 
 
 
 
 
 
Aidha miradi mbalimbali inatekelezwa katika Halmashauri za Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, Kigamboni na Halmashauri ya Jiji

 

i
kwa taarifa zaidi juu ya miradi inayotekelezwa katika Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam tembele a Tovuti
zifuatazo:
 
 
 
www.imc.go.tz
www.kinondonimc.go.tz
www.tmc.go.tz
www.dcc.go.tz
 
     
     
 
Miradi na Programu [ Nyumbani ]
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213