JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
MAHOTELI & NYUMBA ZA KULALA WAGENI
 
Mahoteli & Nyumba za Wageni. [ Nyumbani ]
 
 
 
 

Mkua wa Dar es Salaam una hoteli mbalimbali zinazotoa huduma za malazi na chakula kwa wageni na wakazi wa Dar es Salaam. Hoteli hizi ni pamoja na zile za kitalii na zingine za kawaida. Hoteli hizi zinapatikana katika maeneo mbali mbali za Jiji. Hata hivyo, hoteli zenye hadhi ya kitalii zinapatikana katika eneo la Jiji Kati (Central Business District) na katika maeneo yaliyo pembezoni mwa fukwe za bahari. Baadhi ya holteli maarufu zilizopo Jijini ni:-

•  Serena Hotel
•  Hyatt Regency, The Kilimanjaro
•  New Africa Hotel
•  Peacock
•  Holiday Inn.
•  Southern Sun Hotel
•  Tiffany Diamond Hotel

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Hyatt Regency, The Kilimanjaro Hotel

 
 
 
 
 
 
Mahoteli & Nyumba za Wageni [ Nyumbani ]   Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213