JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
JINSIA
 
[ Jamii ] Jinsia [ Watoto ] [ Nyumbani ] au
 
 
 

Mkoa unatambua mchango mkubwa wa wanawake katika kuendeleza familia na kukuza pato la kaya. Katika kuendelea kufanikisha suala hili, Mkoa umesisitiza uanzishwaji wa vikundi na utoaji wa Elimu kwa Wajasiriamali.

Vikundi vya kiuchumi vya wanawake 5,730 na wanaume 2,455 vimeanzishwa. Shughuli ambazo vikundi hivi vinafanya ni uuzaji wa vyakula, ususi, ufumaji, uhunzi, usindikaji na ufungashaji wa bidhaa mbalimbali.

Aidha, wanawake 6,662 wamepatiwa elimu ya ujasiriamali. Uhamasishaji wanawake kujiunga katika ushirika wa kuweka na kukopa (SACCOS). .Jumla ya mitandao 3 na SACCOS 5 za wanawake zimeanzishwa. Aidha vikundi 134 vya kiuchumi vya wanawake vinashiriki katika maonyesho ya kimataifa ya biashara tangu 2005 hadi sasa.

 

 

 
 
 
 
Wajasiriamaliwakiuza bidhaa sokoni
 
Moja ya Soko maarufu la bidhaa Mkoani Dar es Salaam

 

 
     
     
 
         
 
[ Jamii ] Jinsia [ Mifugo ] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203158