JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
OFISI YA MKUU WA WILAYA YA TEMEKE
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
Utangulizi
 

Wilaya ya Temeke ipo upande wa kusini wa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo kwa upande wa mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, kusini inapakana na Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani na upande wa kaskazini na magharibi inapakana na Wilaya ya Ilala.

 
 
 
Utawala
 

Mkuu wa wilaya ya Temeke ni Felix J. Lyaviva

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Temeke ni
Hashim A. Komba
 
 
Wilaya ya Temeke ina jumla ya Tarafa 2, ambazo zinaongozwa na Maafisa Tarafa kama ifuatavyo:-
 

 

Tarafa
Afisa Tarafa
Mbagala Bibi Agness A. Kyando
Chang'ombe Betha Y. Minga
 
 

Aidha Wilaya ya Temeke ina jumla ya Kata 23 na Mitaa 142.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 
 
 
         
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213