JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
OFISI YA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
 
Utangulizi
 

Wilaya ya Kinondoni imepakana na Wilaya ya Bagamoyo upande wa Kaskazini, upande wa Kaskazini Mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, upande wa Kusini inapakana na Wilaya ya Ilala, upande wa Kusini Magharibi inapakana na Wilaya ya Kisarawe na upande wa Magharibi inapakana na Wilaya ya Kibaha.

 
 
 
Utawala
 

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ni Bw. Ally Salum Hapi

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni ni Bi. Paulina Siara
 
 
 

Wilaya ya Kinondoni ina jumla ya Tarafa 2, ambazo zinaongozwa na Maafisa Tarafa kama ifuatavyo:-

 
Tarafa
Afisa Tarafa
Kinondoni Remija E. Mtema
Kawe Nicodemas J. Shirima
 
 

Aidha Wilaya ya Kinondoni ina jumla Tarafa 2, Kata 20 na Mitaa 112.

 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 

 

 
 
 
 
     
         
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213