JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
OFISI YA MKUU WA WILAYA YA ILALA
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
 
Utangulizi
 

Wilaya ya Ilala imepakana na Wilaya ya Kinondoni na Temeke kwa upande wa Kaskazini na Kusini, Mkoa wa Pwani kwa upande wa Magharibi na Bahari ya Hindi katika ukanda wa Pwani wenye urefu Kilomita 10 kwa upande wa Mashariki.

 
 
Utawala
Mkuu wa Wilaya ya Ilala ni Bibi Sophia Mjema
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala ni Bw. Edward J. Mpogolo
 
 

Wilaya ya Ilala ina jumla ya Tarafa 3 ambazo zinaongozwa na Maafisa Tarafa kama ifuatavyo:-

 
 
Tarafa
Afisa Tarafa
Kariakoo Edith S. Elias
Ilala

Christina B. Kalaekezi

Ukonga Bw. Jeremiah K, Makorere

 

 

Aidha Wilaya ya Ilala ina jumla Kata 35 na Mitaa 153

 
 

 

 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
     
     
 
 
Halmashauri < [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213