JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
VVU/UKIMWI
 
Huduma za UKIMWI [ Nyumbani ] au
 
Huduma Za Ukimwi Mkoani Dar es Salaam
 

Huduma za UKIMWI Mkoani Dar Es Salaam zinatolewa katika Manispaa tano, Temeke Ilala, Kinondoni, Ubungo na Kigamboni. Aidha vipo mbalimbali vya serikali, binafsi na asasi zisizo za kiserikali (NGOs) vinavyoshiriki kikamilifu katika kupambana na ugonjwa huu.

 
 
 
 
Huduma zinazotolewa ni kama zifuatazo:
 
  • Kutoa dawa za kupunguza makali ya UKIMWI na huduma endelevu kwa wagonjwa Vituoni
  • Kutoa dawa na huduma endelevu kwa wagonjwa majumbani.
  • Kutoa elimu juu ya ugonjwa na jinsi ya kuzuia maambukizi.
  • Kupunguza maambukizi ya virusi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTC).
  • Huduma ya kuhakikisha damu salama.
  • Kutoa ushauri nasaha na kupima kwa hiari.
 
 
 

 

 
 
 

 

 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 
 
 

 

 
 


 
 

 

 
 

 

 

 
 
Huduma za UKIMWI [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213