JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
TAARIFA ZA FEDHA NA BAJETI
 
Fedha na Bajeti [ Nyumbani ]
 
 
   
  Fedha zilizotengwa katika Bajeti ya mwaka 2016/17.
 

 

 
Katika mwaka wa fedha 2016/17 Mkoa wa Dar es Salaam uliidhinishiwa na Bunge kutumia jumla ya Sh. 668,735,256,000.00 Kati ya fedha hizi, Sh 199,819,974,000.00 ni mapato toka vyanzo vya ndani vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Fedha hizi zilikadiriwa kutumika kwa ajili ya mishahara, Matumizi mengineyo na shughuli za maendeleo.
   
 

 

   
   
   
   
   
   
   
   
   
   
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
Fedha na Bajeti [ Nyumbani ]   Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213