JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
UVUVI
 
Uvuvi [ Nyumbani ] au
 
 
Utangulizi
 
 

Shughuli za Uvuvi hufanyika katika bahari ya Hindi na pia katika mabwawa ya asili na yale yaliochimbwa. Mkoa una jumla ya kilomita 112 za urefu zilizopakana na Bahari ya Hindi ambazo hutumika kwa shughuli hizi za Uvuvi. Hivi sasa kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi katika kujiongezea kipato kwa kufanya shughuli za ufugaji samaki. Katika Mkoa wetu samaki aina ya Kambale na Sato hupendelewa na wafugaji wengi Zaidi.

 
 
Majukumu ya Mkoa katika sekta ya Uvuvi
 
 

•  Kutoa ushauri na kuhamasisha wavuvi kutumia maarifa ya kisasa(zana bora) ya uvuvi ili kuongeza ufanisi pamoja na mapato

•  Kuelimisha na kuhamasisha wavuvi kuunda vikundi pamoja na SACCOS ili kuwawezesha kupata mikopo

•  Kufanya doria za mara kwa mara ili kupambana na Uvuvi haramu unaotishia Uvuvi endelevu.

•  Kutoa ushauri katika shughuli za ufugaji wa samaki(miundombinu, chakula, magonjwa, masoko na nk)

•  Kukagua na kusimamia Sheria na Kanuni za Uvuvi katika Halmashauri zote katika Mkoa

•  Kukagua Masoko, Viwanda, mabucha na vituo(minada) vya kupokea samaki

•  Kuelimisha wananchi umuhimu wa kupambana na uvuvi haramu na kuwatambua samaki waliovuliwa kwa zana haramu

•  Kuratibu zoezi la Sensa.

•  Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa na Halmashauri juu ya utekelezaji wa sheria za kazi.

•  Kuratibu masuala ya Maafa katika Mkoa.

 

Idadi ya wavuvi pamoja na vyombo vya Uvuvi

 

Ilala

Temeke

Kinondoni

Jumla

Wavuvi

1,083

3,520

2,513

7,116

Vyombo vya uvuvi

222

1,099

1,967

3288

Vikundi na SACCOS za wavuvi katika Mkoa

Wilaya

Idadi ya vikundi

Idadi ya SACCOS

Ilala

16

1

Kinondoni

3

1

Temeke

8

3

Jumla

27

5

Takwimu za samaki waliovuliwa kwa kipindi cha 2010 -2015

Mwaka

Ilala

Temeke

Kinondoni

Uzito (tani)

Tsh

('000')

Uzito (tani)

Tsh

('000')

Uzito (tani)

Tsh

('000')

2010

4,137.7

4,677,889

315.9

12,739.3

4762.05

9,524,100

2011

3,591.7

4,213,574

376.06

18,995.6

4573.05

15,091,057

2012

5,000

6,405,406

417.71

19,479.4

4526.68

16,069,704

2013

5,074.7

6,850,900

385.81

16,549.6

4772.17

10,125,000

2014

4,178.6

8,914,602

535.97

19367.5

4013.12

9,127,023

2015

2,856.6

7,260,733

976.86

21577.67

3995.86

8,989,884

 
 
 
   
   
         
 
Uvuvi [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, TEL: 022 - 2203156/2203158, FAX: 022-2203213