• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Ilala MC
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Misitu

Ongezeko la Eneo la Misitu

Ibara ya 31 (f) Kuimarisha sekta ya malisili kwa kuongeza eneo la kupanda miti kutoka hecta 60,000 mwaka 2016 hadi  hecta 130,000  mwaka 2020.

Eneo la hifadhi ya misitu ya asili ya kupandwa katika Mkoa wa Dar es Salaam ni Hekta 4,794 kwa mwaka 2018 ikilinganishwa na Hekta 4,140 kwa mwaka 2016. Ongezeko hili ni hekta 654 sawa na 16%. Ongezeko hilo linatokana na juhudi za Serikali kupanda miti katika maeneo ya misitu iliyoharibiwa na kuongeza eneo la misitu kwa kuwatoa wavamizi waliogeuza misitu kuwa makazi. Hifadhi hizo zinahusisha misitu ya Pwani (Coastal forest Hekta (1,622), Misitu ya Mikoko (3078) na misitu ya kupanda (94).

Upandaji wa Miti        

Ibara ya 30 (b) Uimarishaji wa Sekta ya maliasili kwa kuongeza kasi ya upandaji miti kwenye misitu ya jamii ambapo wastani wa miti milioni 200 kwa mwaka imepandwa.

Mkoa unaendelea kuwaelimisha na kuwahimiza wadau mbalimbali kupanda na kuitunza miti katika maeneo yao ili kuboresha mazingira na kupendezesha Jiji. Maeneo yanayopandwa miti ni pamoja na maeneo ya wazi, barabara, makazi, taasisi mbalimbali, viwandani, kandokando ya mito, mabondeni, fukwe za bahari na maeneo ya vyanzo vya maji.

Ili kuweka msukumo katika upandaji miti tarehe 01 Oktoba, 2016, Mkoa ulizindua kampeni ya ‘MTI WANGU’ kwa lengo la kuongeza kasi ya kupanda miti na kuitunza.  Katika kipindi hicho  miti ipatayo 30,473 ilipandwa. Hadi kufikia mwaka 2018 jumla ya miti 3,503,490 imepandwa kupitia Kampeni ya Mti wangu. kwa kutumia chanzo cha makusanyo ya mapato ya ndani ambapo kiasi cha Sh.52,768,000 zilitumika. Kampeni hii itadumu kwa kipindi cha miaka 4 na lengo ni kupanda miti milioni 4 kufikia mwaka 2019.

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Serikali - AWAMU YA PILI January 08, 2021
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge: Stendi Mpya ya Mabasi ya Mbezi Louis Kuanza Rasmi Novemba 30, Majaribio Novemba 25

    November 09, 2020
  • RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Usiku wa Manane,Atoa Maagizo Mazito kwa Wakandarasi "Wazembe'

    October 17, 2020
  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Akutana na Walimu,Awahakikishia kuwa Serikali Itaendelea Kulipa Malimbikizo Yote Wanayodai

    September 22, 2020
  • RC Kunenge Atembelea Miradi na Kutaka Ikamilike kwaWakati

    September 17, 2020
  • Tazama zote

Video

Kampeni ya Tahadhari Dhidi ya Mafuriko kwa Wanafunzi jijini Dar es Salaam
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa